Kama upo dar nenda pale fire kuna duka linaitwa Radium, utapata mashine za kila aina. Ila angalizo.... Nunua home cut ndizo zina spare za viwembe kila kona ya nchi.Wana jamii naomba kufahamishwa, ni wapi naweza kupata mashine za kunyolea nywele zilizo orignal, hapo kwa mzoefu anijulishe aina iliyo bora pamoja na bei yake, na pia ni maduka gani naweza kuipata, asanteni.
moro mkuuUpo mkoa gani mangi
Fire sehemu gani mkuu?Kama upo dar nenda pale fire kuna duka linaitwa Radium, utapata mashine za kila aina. Ila angalizo.... Nunua home cut ndizo zina spare za viwembe kila kona ya nchi.
Fire sehemu gani mkuu?
Asante sana.Kama unatokea Muhimbili Shule ya Secondary Jangwani vuka mataa mtaa wa Swahili kama unaenda Kariakoo kushoto kwako kuna kituo cha mafuta kulia kuna yard ya magari ukimaliza yard tu jengo linalofuata.
Umemaliza mkuuKama unatokea Muhimbili Shule ya Secondary Jangwani vuka mataa mtaa wa Swahili kama unaenda Kariakoo kushoto kwako kuna kituo cha mafuta kulia kuna yard ya magari ukimaliza yard tu jengo linalofuata.
Umemaliza mkuu
Asante kwa maelekezo yaliyo kamilikaKama unatokea Muhimbili Shule ya Secondary Jangwani vuka mataa mtaa wa Swahili kama unaenda Kariakoo kushoto kwako kuna kituo cha mafuta kulia kuna yard ya magari ukimaliza yard tu jengo linalofuata.
Moro sehem gani??Kuna mashine mbili mpya original nilinunua 120k kila moja, naziuza pamoja na viti, sofa, sterilizer, mlango wa aluminium, vioo vya kujiangalia vi 5 vikubwa, na vitu vingine vya salun.
Vimetumika miez 7, nahama mkoa mwingine kutokana na kuhamishwa kikazi.
Km upo tayari ni Pm