Kijana kijana
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 2,546
- 2,625
Waku samahani nimetafta mafuta ya kilainishi weeee(ky jelly)pharmacy zote cjapata.
Sasa anayeyajua mafta mengine hodari kwa kulainisha mfano wa hayo anijuze wakuu ili nipate kufanikisha zoezi langu.
Mke wangu ana matatizo katika uke wake hivyo tukipata kilainishi kwa wakati huu itakuwa bora zaidi.
Sina nia mbaya na hayo mafuta