Mama Nehemiah
JF-Expert Member
- Sep 9, 2018
- 275
- 471
Wakuu nahitaji kile kifaa kidogo kinachotumia umeme kwa ajili ya kuulia mbu, kile unaweka dawa yako unachomeka kwa umeme kinaendelea na kazi.
Naomba mwenye kujua wapi nakipata nikanunue kesho.
Asante
Naomba mwenye kujua wapi nakipata nikanunue kesho.
Asante