Wapi nitapata kazi kama Mtafsiri wa lugha ya kiitaliano/Italian translator | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi nitapata kazi kama Mtafsiri wa lugha ya kiitaliano/Italian translator

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Iyokopokomayoko, Jul 19, 2012.

 1. Iyokopokomayoko

  Iyokopokomayoko JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,808
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Heshima kwenu wakuu,
  Tafadhari naombeni kwa anayejuwa ni wapi au kampuni ipi wanahitaji mtafsiri wa lugha ya kiitaliano, mimi ni mzungumzaji na mwandishi mzuri katika lugha hiyo.

  naomba kuwasilisha
   
 2. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nenda vyuo vya utalii au airport.
   
 3. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nenda Zanzibar kaka halafu kuwa free lance tour guide utakuwa unawatembeza kila kukicha. ila yakupasa uifahamu zanzibar vizuri
   
 4. Iyokopokomayoko

  Iyokopokomayoko JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,808
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  nashukuru sana mkuu, sasa pale airport naanzia wapi?
   
 5. Iyokopokomayoko

  Iyokopokomayoko JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,808
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Nashukuru mkuu kwa ushauri wako, naifahamu vizuri sana znz nimeshafanya kazi huko kama mwaka mmoja nikifanya kazi hotelini, nilitamani kuwa beach boy wakati nikiwa huko lakini nilishindwa maana niliambiwa ni lazima uwe umeaga kwenu na mimi sikuwa nimeaga nikagaili
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Umejaribu humu jf?
  Ongea na invisible
   
 7. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Nenda Ubalozi wa Tanzania Italia au ubalozi wa Italia Tanzania utaweza kuwafafanulia waTanzania wanaohitaji Visa ya Italia au uwafafanulie waItalia wanaohitaji visa ya Tanzania
   
 8. Iyokopokomayoko

  Iyokopokomayoko JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,808
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  King'asti, jf wanahitaji watu wa namna hii? sijaona page wala kazi za kiitaliano humu, nifafanulie zaidi au ni PM if possible (se e' possibile).
   
 9. Iyokopokomayoko

  Iyokopokomayoko JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,808
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Nashukuru mkuu, lakini unafikiri katika ofisi kama hiyo wanakosekana watu kama mimi kweli?!!, sijikatishi tamaa lakini naona ofisi kama hiyo hakuwezi kosekana mtu kama mimi ni mawazo yangu tu mkuu bali nitajaribu kama ulivyonishauri
   
 10. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Maisha ni kujaribu kaka usikate tamaa, jua kweli wapo lkn wewe ni bora kuliko wao period
   
 11. Wild fauna

  Wild fauna JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Kwa nin unakua mtumwa wa fikra mpaka karne hii? Mbona wao hawasomi kiswah huko kwao italia? Kichaga,kiswahi na kingereza vyanitosha kbsa,ctaki UTUMWA MIE.
   
 12. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Jina lako la kitaliano?
   
 13. Iyokopokomayoko

  Iyokopokomayoko JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,808
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Mkuu habari, mbona italy kuna vyuo wanafundisha kiswahili, halafu nijuwavyo mimi ni kuwa waitaliano hawajawahi kututawala kitumwa ila najuwa waingereza unaosema wewe wamewahi kufanya TZ koloni lake. Mi mkuu sijakuelewa kabisa, we nisaidie kama nilivyoomba masuala ya utumwa nitajuwaga huko huko we usijali
   
 14. Iyokopokomayoko

  Iyokopokomayoko JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,808
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Ni kama kusema ''mimi natania kidogo lakini natania'' (io gioco poco ma gioco = iyokopokomayoko).
   
 15. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,807
  Likes Received: 2,581
  Trophy Points: 280
  Muhimbili. Serikali ipo mbiyoni kuajiri madakatari wa ulaya,cuba hadi china.
   
 16. Iyokopokomayoko

  Iyokopokomayoko JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,808
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Nilisikia wanaharakati hawataki jambo hilo bilashaka hata serikali haitalifanya kusema ukweli hata mi sipendi itokee maana hakuna sababu hiyo.
   
 17. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #17
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Inategemea upo wapi, ukija Arusha au Moshi hulali njaa. Makampuni ya tour guide operaters yanatafuta watu kama wewe
   
 18. Iyokopokomayoko

  Iyokopokomayoko JF-Expert Member

  #18
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,808
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Kwa hakika mkuu rafiki zangu wengi wameniambia hivyo, mi nipo dar na itaniuma sana kwenda nje ya hapa lakini kama hali ni hii hadi kesho jioni mi keshokutwa nitapanda ngorika, nashukuru sana mkuu
   
 19. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #19
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ..Mkuu wahi season sa hivi, kuna dolari na paundi za nje nje za Watalii. Maisha ni popote sa hivi, usichague kambi.
   
 20. Wild fauna

  Wild fauna JF-Expert Member

  #20
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mkuu wewe ni jinsia gan kwanza? Mie npo arusha na kwa sasa ni high season wagen wapo kibaaoo,kama vp ibuka geto hapa then tufanye michakato coz if u able to speak fluent bas kaz zpo kbao.mie mwenyewe ni mdau katika field hii ya tourism ila ndo hvyo mambo bdo hayajawa dangachee!!
   
Loading...