Wapi nitapata JBL bluetooth speakers original Mwanza?

Wapi nitapata JBL bluetooth speakers original Mwanza?

Asante
Nina jbl charger 5 nilihisi nimepigwa ila mmarekani huyu yuko overrated sana hasa upande wa bluetooth speaker , kitu pekee anachowapiku anker ni best design na ile dust proof tu anker naendelea kumuelewa zaidi na nimetumia BT tatu tofauti ziko njema sana
 
Ni changamoto sana, kuna jamaa yangu aliagiza Dar ila nahsi amepigwa copy maana inagonga kiasi alafu haikai na chaji. Mi nimeamua kuchukua ya oraimo angalau najua sio copy na inagonga vizuri sana ukilinganisha na bei yake.
Why usiagize kutoka official store za jbl wabongo wengine nimegundua wanaleta second hand au refurb ,na bado bei haipoi
 
Hiyo ni copy sio OG.
Mimi sio kilaza na mshamba kama wewe uliyetoka vijijini huko Ruvuma

Kitu ni original..

JbL app yenyewe imesema yes.
 
Attachments

  • Screenshot_20240116-234147_JBL Portable.jpg
    Screenshot_20240116-234147_JBL Portable.jpg
    77.8 KB · Views: 51
Asante

Nina jbl charger 5 nilihisi nimepigwa ila mmarekani huyu yuko overrated sana hasa upande wa bluetooth speaker , kitu pekee anachowapiku anker ni best design na ile dust proof tu anker naendelea kumuelewa zaidi na nimetumia BT tatu tofauti ziko njema sana
JBL ni another lever usimcompare na Anker mzee

JBL lever zake wakina Bose , pioneer, okyo Jvc

LABDA uliuziwa JBL famba maana zimejaa mjini
 
JBL ni another lever usimcompare na Anker mzee

JBL lever zake wakina Bose , pioneer, okyo Jvc

LABDA uliuziwa JBL famba maana zimejaa mjini
Elewa bro ninachokuambia kaka nimeitoa authorised store online ni mpya ila naweza kukuonesha baadhi ya vitu kwa mda mfupi ambayo jbl amefel anker kampiku ,kumbuka nazungumzia upande wa BT tu.
 
Hua sikai vitu mdamrefu mie nikama tester tu, kwa sasa nina soundcore boom3i fullbox leta kibunda, ni mojaya matoleo bora kabisa ya anker kwa sasa unaweza tyubika ukajionea
 
Back
Top Bottom