Wapi nitapata hizi softwares

Mangungo II

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
17,995
26,296
Naam nataka kujua Ni wapi naweza nunua hizi software hapo dar

Adobe illustrator

Adobe Photoshop

ArchCAD Au AUTOCAD

CC@chiefmkwawa
 
Naam nataka kujua Ni wapi naweza nunua hizi software hapo dar

Adobe illustrator

Adobe Photoshop

ArchCAD Au AUTOCAD

CC@chiefmkwawa
Kama kweli wewe ni mnunuzi basi tumia Adobe creative cloud kununua hizo product na utakuwa unalipia kwa mwezi au mwaka product uitakayo.

Ukishindwa hapo rudi tu kwenye team waibaji tukugawiwe kitambulisho cha waibaji mtandaoni.
 
Naam nataka kujua Ni wapi naweza nunua hizi software hapo dar

Adobe illustrator

Adobe Photoshop

ArchCAD Au AUTOCAD

CC@chiefmkwawa
1690 usd = tshs 3,920,024.29 all the best

Screenshot_20201016-181817_Samsung Internet.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom