Wapi nitapata hii switch ya taa??

Mzee wa kubadili avatar umetisha kama kawaida yako... Ukiipata ni-pm namimi nitupie mjengoni kwangu.
 
mie ni mchanganyiko wa hayo makabila..............ina maana ukijumlisha mapengo ya mgogo na ya kimasai unapata nini?!?

hahaha pole sikua najua...
nadhani ukijumlisha mapengo ya pande hizo mbili, basi hakutakua na haja ya mswaki...
 
mbona waguna tena...kulikoni???
watu8 hebu achana na switch kwanza jiandae kuingia nakivubo muda ndo huu!!!kumbuka mimi sina access ya redio wala TV nawategemea ninyi!!!
 
Last edited by a moderator:
watu8 hebu achana na switch kwanza jiandae kuingia nakivubo muda ndo huu!!!kumbuka mimi sina access ya redio wala TV nawategemea ninyi!!!

Hahaha...mkuu nipo mzigoni leo yaani hapa natamani kweli hiyo game niitazame sasa mkoloni ndio kakaba, itabidi tuwasikilizie kina Mphamvu, Wabhejasana, Ndetichia na wengineo...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…