Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watu8 wanaume wengine switch zao zimekufahiyo ya kwanza switch hupatikana Nyanda za chini Kusini za wana wa kiume wote
nimeupenda mswaki.........
huo mswaki ni mahsusi kwa wanawake wa Kimaasai na Wagogo...
huo mswaki ni mahsusi kwa wanawake wa Kimaasai na Wagogo...
mhhh jamani
mbona waguna tena...kulikoni???
mie ni mchanganyiko wa hayo makabila..............ina maana ukijumlisha mapengo ya mgogo na ya kimasai unapata nini?!?
watu8 hebu achana na switch kwanza jiandae kuingia nakivubo muda ndo huu!!!kumbuka mimi sina access ya redio wala TV nawategemea ninyi!!!