Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,383
- 7,969
Ninahitaji haya masweta white plain wapi nitayapata dar
Zinapatikana hapo ?Kariakoo kongo na agrey
Ukiagiza yanachukua muda gani kufika TANZANIAKiwandani yanakotengenezwa yamejaa tele hata ukitaka 200,000K utazipata