Clinton Manangwa
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 214
- 222
Msaada wapi nitapata chuo cha kujifunza mambo ya usalama (safety)
Wasiliana na Occupational Safety and Healthy Authority (OSHA)Msaada wapi nitapata chuo cha kujifunza mambo ya usalama (safety)
Kuna kozi nyingi kwenye tovuti mbalimbali mnaweza kusoma kwa elimu masafa marefu. Tafuta shule/chuo.
Pia kozi zinatangazwa kupitia mitandao ya jamii. Google mkuu !
Usalama upi?
Wa barabarani au
Kusimamia usalama wa viwandani na migodini mkuuu.
Kama haupo kwenye moja ya vyombo vya ulinzi na usalama kunywa maji mengi tulia yaani hakuna namna.Siku hizi kuna vi short programs kwa watendaji wa ngazi za juu kupigwa msasa ili kudumisha ulinzi katika maeneo yao ya kazi hata kama hawahusiki ktk vyombo vile.
Pitia chuo cha diplomasia Tanzania kiko Dar es salaam upanue akili yako na uijue dunia,itakuwa simple kufikia malengo yako,najua una sababu ya kutafuta hivyo vyuo.