Kama kiasi gani?
Kuna gpu inaitwa Quadro P620 unaipata around laki 1 hivi, kwa kenya kama una connection hadi 80,000 hivi, Gpu nzuri inacover codecs zote za kisasa ukitoa AV1.
Hio plus i7 ya kizamani inatosha.
Kama budget ipo nzuri kiasi chake inafika laki 3-4 unaweza chukua workstation za Xeon, zinakula umeme balaa ila perfomance kubwa.