Time Traveller JF-Expert Member Joined Nov 16, 2016 Posts 314 Reaction score 305 Nov 29, 2017 #1 Habari wakuu, Nina coins kadhaa za euro 2, nimejaribu kwenye haya maduka ya bureau de change wameniambia hawabadili coins wao ni note tu. Kwa wajuzi wa mambo ni wapi naweza kuzibadili na kupata pesa ya bongo?
Habari wakuu, Nina coins kadhaa za euro 2, nimejaribu kwenye haya maduka ya bureau de change wameniambia hawabadili coins wao ni note tu. Kwa wajuzi wa mambo ni wapi naweza kuzibadili na kupata pesa ya bongo?
N nsereko m JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 2,930 Reaction score 2,175 Nov 29, 2017 #2 wasubiri wajuvi waje wakuelimishe.