Wapi nikaripoti nikimuona JOSEPH KONYI?

Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
14,593
Reaction score
5,587
Wadau marekani imeshatangaza bingo ya dola milion 5 kwa atakayewezesha kupatikana kwa Joseph Konyi,,,,,
nami nauliza,iwapo ntamuona au ntawezesha huyu jamaa kupatikana nikaripoti wapi ili nipewe changu fasta,maana naweza nikawa porini nikakumbana nae sasa taarifa nizipeleke wapi?au kwa maeneo ya town nikatoe taarifa wapi?
 
Kwanza kabla ya yote, huyo Konyi mwenyewe ukimuona utam'manya? (recognize)
 
utanipigia mm simu..afu nitakupa maelekezo
 

huku si chit chat au siasa maana sielewielewi hapa..
 
Kareport kwa jk atakupa muongozo nadhani!
 
Utanipigia simu nitakuja na kikosi kazi changu ( manoah C6 Tonykp na kumkamata maramoja... Si ndo tumepewa tenda hyo na huo mkwanja
 
Last edited by a moderator:
Ukiwa na taarifa yoyote nipe nitafikisha ubalozi wa marekani uliopo karibu yangu na uchunguzi utafanyika. Ikiwa taarifa zako ni sahihi watatuma kakiasi kwenye banc account yangu halafu nitakupa.
 
unamzungumzia Joseph Konyi muuza mitumba maarufu huku Gikomba Nairoberry???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…