Wapi niende kwa mapumziko ndani ya Tanzania

Awowo Apewe

Member
Joined
Jun 5, 2019
Posts
72
Reaction score
87
Natamani nitembelee sehem nzuri na zenye vivutio lakini bajet yngu ni ndogo sana kama mil2 na npo mimi wife mtoto,,,kwa mwenye uzoefu wadau wapi ni sehem nzuri
 
Mkuu ulizia bagamoyo huko, pia waweza kwenda south beach dar es salaama, vyumba vyao nasikia ni vizuri mno, kwa ela hiyo unalala wiki nzima na kutumia unavyopenda.
 
Nenda mbudya island hapo kisiwani ni pazuri tuu
Natamani nitembelee sehem nzuri na zenye vivutio lakini bajet yngu ni ndogo sana kama mil2 na npo mimi wife mtoto,,,kwa mwenye uzoefu wadau wapi ni sehem nzuri
 
Natamani nitembelee sehem nzuri na zenye vivutio lakini bajet yngu ni ndogo sana kama mil2 na npo mimi wife mtoto,,,kwa mwenye uzoefu wadau wapi ni sehem nzuri
CHATO burigi, kuna mbuga na ulinzi, pia utasaidia sana kumfurahisha mfalme
 
Ungekuwa huna wife,ningekuelekeza Mikocheni B assembles of God Mlima wa moto kwa Bishop Dr mama Rwakatale
Hahaha mkuu umeua, ingebidi aende na fuso au canter achambue chabue kama vile yuko kwenye meza ya mitumba pale manzese/tandika.
 
Jumapil hapatoshi huko mkuu,nmeshanunua koti la suti na mimi ntaenda kujaribu bahati yangu
 
Back
Top Bottom