Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,960
Superdoll Pugu Road....au uende Dubai mwenyewe
nimewapigia jamaa wa Superdoll naona wanataka $17,000 na heavy duty $25,000 hizo za China zinakwendaje? I real need it Mpwa lakini sio kwa bei kubwa hivyo, pesa yenyewe ya kuungunga, be blessedZipo za China piya
Brethren,
Naamini kumekucha salama, naombeni msaada wa info ni wapi naweza kupata machine ya wheel alignment ya kununua, ikiwa kwa Tanzania tayari nitafurahi au kama unafahamu kampuni ambayo watanisaidia kuingiza na kufanya clearence kabisa, nitashukuru kama utaweka na bei, hata kama sio bei halisi.
Natanguliza shukrani za dhati
please sijafanikiwa bado, kama kuna mtu atakua ana info kidogo anisadie
View attachment 102889
Angalia hii Mkuu, USD 3000 mpaka Dar.
mpwa nakuombea ubarikiwe sana sana, vipi natamani sana nipate kama ile ya Corghi ambayo inmaweza kulift gari juu, please and please, hii naona bei nzuri sana but I wish ningepata hio brand hio plus wheel balace machine, thank you very much
mpwa nakuombea ubarikiwe sana sana, vipi natamani sana nipate kama ile ya Corghi ambayo inmaweza kulift gari juu, please and please, hii naona bei nzuri sana but I wish ningepata hio brand hio plus wheel balace machine, thank you very much
Mkuu hapo nifafanulie kidogo Mkuu wangu, kama unaweza kunirushia kapicha kidogo nakuwa na uhakika zaidi. Corghi nyingi ukiacha hii recent yenye laser tech zinakuwa kama hivi:
View attachment 102987
View attachment 102988
Hizi ndiyo ziko kwenye garage nyingi mkuu, kama umeiona sehemu naomba unirushie picha au model number mkuu wangu.
Pamoja!
Mpwa zimegoma kufunguka, sijui nielezeje maana siko vizuri sana ila kuna moja niliikuta mahalai ambapo ni full computerized ina ina uwezo wa kunyanyua gari juu, ngoja nitajaribu ku-google niweke hata link yake ila ni product ya hao hao Corghi. Nashukuru sana kwa msaada wako, nichekie na hio otherwise tuangalie ustaarabu wa kuniletea hio na nyingine pia
View attachment 103018
Poa Mkuu, na mimi naendelea kutafuta. Ukipata details zaidi au link nifowardie Mpwa.