Wapi naweza pata huduma ya massage Morogoro

Wapi naweza pata huduma ya massage Morogoro

vunjajungu

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
576
Reaction score
246
Wakuu naomba anaejua kama kuna sehemu ninakoweza kufanyiwa full body massage hapa Morogoro mjini.
Nilienda vijijini na fuso yaan mwili wote unauma.
Natanguliza shukrani.
 
Nenda Itigi, pale mkabala na Stendi kuu ya Mkoa, Msamvu..
 
Nenda Itigi, pale mkabala na Stendi kuu ya Mkoa, Msamvu..

mkuu pale najua biashara iliopo,mimi shida yangu massage ya ukwel,au ndio ule usemi kua kila massage parlour=danguro?
 
Back
Top Bottom