Mbagala Tz
Member
- Mar 16, 2017
- 57
- 42
Kuna msela humu alisema anashonesha suti bei rahisi, jaribu kutafuta huo uziSalaam wakuu
Ni wapi naweza kupata suti za bei rahisi za 100,000 au 110,000 Lakini cladsic
Maana nimezunguka kariakoo nyingi ni kuanzia 150,000 hadi 180,000
Na mm hyo hela ya 150,000 sina
Halafu unakuwa peke yako mjini Sio za dukani Kila mtu anayonenda karume...kununue koti kivyake na suruali pia zipo hapohapo...koti 20,000 suruali 15,000 mpaka 10,000....unang'ara kwa 35,000 au 30,000.
ila kma ndo wale wa kupenda sifa nenda kwenye maduka ya vioo ukatoe 150,000.
kila la kheri.
Suti zangu nannuaga karume mtu akiona lazma heshima anipe..
😂 😂 😂 😂 😂kama ndio wale wa kupenda sifa nenda kwenye maduka ya vioo ukatoe 150,000.
haswaaa mkuu....yaani kitu unique....Halafu unakuwa peke yako mjini Sio za dukani Kila mtu anayo
Ni wapi naweza kupata suti za bei rahisi za 100,000 au 110,000 Lakini classic
Chukua mawasiliano hapa kwenye link: Shona suti kwa bei nafuu mnoKuna msela humu alisema anashonesha suti bei rahisi, jaribu kutafuta huo uzi
Mwl nahitaji kujua kuhusu kufanya Kazi na weweChukua mawasiliano hapa kwenye link: Shona suti kwa bei nafuu mno
View attachment 1593657
Bei yake ya chini ni TZS 80,000
Kazi zake zina kiwango