2026! | NUNUA BIDHAA TOKA MATAIFA MBALIMBALI DUNIANI NA MZIGO UTAKUFIKIA MAHALA ULIOPO UTANGULIZI Je, kuna bidhaa unataka kununua toka nje ya nchi kwa sababu hapa Tanzania umetafuta na hukupata? Je, kuna huduma unahitaji kulipiwa mtandaoni? Kama jibu ni NDIYO, basi hii thread inakuhusu...