princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,686
- 19,365
Ooh kwahiyo nifike katika maduka yao nikaulizie?Nenda kwa wakala wa kampuni husika, watakupa maelezo mazuri zaidi...
Yap! Maana nina shaka humu unaweza kupata majibu yatakayokuchanganya zaidi, unless yatoke kwa mmoja wa wanaofanya shughuli hizo...Ooh kwahiyo nifike katika maduka yao nikaulizie?
Ngoja niwasikilizeYap! Maana nina shaka humu unaweza kupata majibu yatakayokuchanganya zaidi, unless yatoke kwa mmoja wa wanaofanya shughuli hizo...
Tin namba? ndio nini mkuuunatakiwa uwe na TIN number,Leseni ya Biashara na Kitambulisho. Cha kuongezea hela ya mtaji basi, kwa voda nenda kwny voda shop au wana mameneja wao wa maeneo na kwa tigo nenda kwa mawakala wakuu
1. Leseni ya biashara.Habari wapendwa;
Kwa yeyote anaefahamu namna gani naweza kupata Line za uwakala za Tigopesa/Mpesa(process)
-Namna ya kufatilia
-Garama za kununua
-zinapatikana wapi
Naomba anifahamishe
(sio za watu wanaoziuza mitaani lakini, nataka OG kusajili kwa Majina ya muhusika)
Ahsanteni
Tin namba unapata tra ya mapato yao kwa hiyo watakadiria ni kiasi gani unaingiza kwenye Duka lako na leseni kibali cha kufanya biashara.Wakala Mkuu ni Wakala ambaye atakua karibu yako .atakupa huduma kama za float.mabango. vitabu.huduma zote za Tigo pesa unakua unapata kwakeTin namba? ndio nini mkuu
Leseni ya biashara[emoji26]
Mawakala ws kuu ndio wapi hao
Dar es salaamUpo mkoa gani?
Fika ofisini kwao watakusaidia, mtaani watakupiga hela bure.
ooh kwahiyo TrA nako naanzaje jamani[emoji24][emoji24]... niende na Tsh ngapiTin namba unapata tra ya mapato yao kwa hiyo watakadiria ni kiasi gani unaingiza kwenye Duka lako na leseni kibali cha kufanya biashara.Wakala Mkuu ni Wakala ambaye atakua karibu yako .atakupa huduma kama za float.mabango. vitabu.huduma zote za Tigo pesa unakua unapata kwake
Sio mchezo ndo maana watu wengi wanaona bora Kuchukua za mtaani.watakudiria kulingana na Duka lako lilipo na biashara utakayoweka.apo uwe makini usije lipishwa tofauti na mapato unavyoingiza.ukishakamilisha ukipeleka ofisin Voda itachukua mwenzi mzima ndo upate lainiooh kwahiyo TrA nako naanzaje jamani[emoji24][emoji24]... niende na Tsh ngapi
hii kazi ya kufatilia sio mchezo
Duh!!!Pole wewe ulifikiri unaanza tu kichwa kichwa hiyo michato cha muhumu fata taratibu ulizopewa na wadawu hapo juu.ooh kwahiyo TrA nako naanzaje jamani[emoji24][emoji24]... niende na Tsh ngapi
hii kazi ya kufatilia sio mchezo
Usilie mwanzo mgumuooh kwahiyo TrA nako naanzaje jamani[emoji24][emoji24]... niende na Tsh ngapi
hii kazi ya kufatilia sio mchezo
Tatizo TRA sielewi naendajeUsilie mwanzo mgumu
Duuh, kwahiyo niende TrA nikiwa nmeshajua frem naiweka wapiSio mchezo ndo maana watu wengi wanaona bora Kuchukua za mtaani.watakudiria kulingana na Duka lako lilipo na biashara utakayoweka.apo uwe makini usije lipishwa tofauti na mapato unavyoingiza.ukishakamilisha ukipeleka ofisin Voda itachukua mwenzi mzima ndo upate laini
Vp uko tayari nikusindikize?Tatizo TRA sielewi naendaje
Njoo pm tueleweshane zaidi na zaidiDuuh, kwahiyo niende TrA nikiwa nmeshajua frem naiweka wapi
sawaNjoo pm tueleweshane zaidi na zaidi