YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,035
Ni wapi naweza kupata kupaya mkopo wa tsh 10000? Tofauti na branch kwasababu sina kitambulisho cha mpiga kura
Ni tovuti gani nyingine inayotoa mkopo online?
Pesa imekata ghafla na sina namna yoyote ile ya kupata pesa ya kunisukuma angalau siku 3
Ningefurahi ningepata maelekezo ni wapi wanatoa mkopo kama wa 10000 ili inisaidie chakula kwa siku 3
Na pia nina mpango kabambe wa kuanza biashara ndogo ndogo ya kununua na kuuza vitu
Kama una simu ya tigo bonyeza *150*81#
