Wapi naweza kupata mkopo wa tsh 10000?

Wapi naweza kupata mkopo wa tsh 10000?

uza simu hyo upate pesa ya kula na kuuza machungwa mama ww
 
Ukipata pesa siku nyingine fungua akaunti ya m-pawa,hutadhalilika kamwe,ni siri yako wewe na kampuni.
 
Ni wapi naweza kupata kupaya mkopo wa tsh 10000? Tofauti na branch kwasababu sina kitambulisho cha mpiga kura
Ni tovuti gani nyingine inayotoa mkopo online?
Pesa imekata ghafla na sina namna yoyote ile ya kupata pesa ya kunisukuma angalau siku 3
Ningefurahi ningepata maelekezo ni wapi wanatoa mkopo kama wa 10000 ili inisaidie chakula kwa siku 3
Ni app gan inayotoa mkopo nikope

Rahisi kabisa siku hizi hata huangaiki.. kama ndo mara ya kwanza na una line tatu yani tigo, airtel na vodacom siku hizi wanakudhamini unapata mkopo.

Tigo nivushe piga *150*81#
airtel- Timiza *150*60#
M-Pawa (voda) *150*00# then 5 unapata M-Pawa.

najua mara ya kwanza utapata kiasi kidogo ila ukijumlisha line zote itafika tu elfu 10 ya kukusogeza. Usimsumbue mtu ukapata matusi bure kwa sababu hali ya sasa hairuhusu hata kumgusia mtu akukopeshe.
 
Ningekupa hiyo 10,000/- lakini hakuna mkopo utakaopewa na taasisi yoyote ya kifedha endapo utasema unaenda kutumia kujikimu(chakula)...mathalani kama ingekua biashara ungepata mapema sana.
 
hata hivyo nimeainisha hapo kuwa nina mpango wa kuanza biashara
 
Rahisi kabisa siku hizi hata huangaiki.. kama ndo mara ya kwanza na una line tatu yani tigo, airtel na vodacom siku hizi wanakudhamini unapata mkopo.

Tigo nivushe piga *150*81#
airtel- Timiza *150*60#
M-Pawa (voda) *150*00# then 5 unapata M-Pawa.

najua mara ya kwanza utapata kiasi kidogo ila ukijumlisha line zote itafika tu elfu 10 ya kukusogeza. Usimsumbue mtu ukapata matusi bure kwa sababu hali ya sasa hairuhusu hata kumgusia mtu akukopeshe.
nimesajili lain ya tgo ina week watakubali?
 
Ni wapi naweza kupata kupaya mkopo wa tsh 10000? Tofauti na branch kwasababu sina kitambulisho cha mpiga kura
Ni tovuti gani nyingine inayotoa mkopo online?
Pesa imekata ghafla na sina namna yoyote ile ya kupata pesa ya kunisukuma angalau siku 3
Ningefurahi ningepata maelekezo ni wapi wanatoa mkopo kama wa 10000 ili inisaidie chakula kwa siku 3
Na pia nina mpango kabambe wa kuanza biashara ndogo ndogo ya kununua na kuuza vitu
Ingia tigo nivushe *150*81hash kama unavigezo watakupatia bilashaka
 
kama wew ni mwanamke mzuri njoo nitakupa 20000 buree. sikukopi nakupa.
 
Back
Top Bottom