Wood Stone
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 647
- 1,015
Acha uongo hakuna cracked ya SgimaKey inayofanya kazi. Unaijua Sgimakey au unaisikia fundi kanjanja? BST dongle nayo wamefeli. Utasema kuna cracked ya chimera. Kutumia cracked box utaishia kufanya kazi chini ya kimeza kidogo kama cha shoe shine. Na hautapiga pesa. Mtu yupo mtwara vijijini anasimu yake ya vodafone 1100 anataka unlocked code unafanyaje na hiyo cracked box yako? Mwisho wa siku utamuomba aje ofisini Dar. Kama unabox lako la Sigmakey, dk 1 ushamtumia unlocked code na amekutumia pesa kwenye simu.Zipo nying sana mkuu unazoweza tumia bila box , gsm, miracle,ftn, dc unlocker, infinity, nck, sigma key ,nspro,sprt,volcano,falcon box,Eft ,infinity, jaf, ufsx hwk yaan zipo nyingi sana ni utundu wako tu kujua kucheza nazo aisee na zote unapata cracked na fatures nying tu
Hahahaaaa dogo vitu kama hujui kaa kimya unatia aibu kuna wanao jua wanakushangaaAcha uongo hakuna cracked ya SgimaKey inayofanya kazi.
Hakuna cracked ya sigmakey wala keygen ya sigmakey inayofanya kazi. Tuma hiyo keygen tuione kama kweli ipo.Hahahaaaa dogo vitu kama hujui kaa kimya unatia aibu kuna wanao jua wanakushangaa kwa mfano nikikutumia hapa keygen ya sigma box unaficha wapi sura lako? Au sigmakey hujui ninini
Yaani bado unaujasiri wakupinga !!? We kweli lazima utakuwa muha wa manyovu aisee
Mimi natumia sigmakey hadi sasa sijui unabisha nini
Dogo tumetangulia kufanya hizi kazi kabla yako hivyo kama hujui omba ufundishwe usipo pajua usijifanye mjuaji kiasi hicho ukdhan unajua kila kitu wakati hujui vitu vingi tu.
Mimi natumia sigm key na keygen hadi leo
Mwenzako huyu Ohida Ezekiel aliuliza please i need sigmakey crack with loader kwenye Group la facebook Gsm Box Crack & Crack Tools na majibu yake yalikuwa hiviHahahaaaa dogo vitu kama hujui kaa kimya unatia aibu kuna wanao jua wanakushangaa kwa mfano nikikutumia hapa keygen ya sigma box unaficha wapi sura lako? Au sigmakey hujui ninini
Yaani bado unaujasiri wakupinga !!? We kweli lazima utakuwa muha wa manyovu aisee
Mimi natumia sigmakey hadi sasa sijui unabisha nini
Dogo tumetangulia kufanya hizi kazi kabla yako hivyo kama hujui omba ufundishwe usipo pajua usijifanye mjuaji kiasi hicho ukdhan unajua kila kitu wakati hujui vitu vingi tu.
Mimi natumia sigm key na keygen hadi leo
Kutegemea takataka zinazoitwa cracked huwezi kufanya kazi kwa 100%. Sana sana utafanya kazi chini ya kimeza kama cha shoe shine na hautapiga pesa. Ingia Youtube uone ofisi za ufundi simu zilivyo. Ukicheki ofisi ina vifaa kama vya milioni 2 na zaidi, ofisi imependeza. Watu wanafanya kazi kama wanaendesha gari ambayo ni automatic Ndiyo maana mafundi simu wa Tanzania wanaua sana simu za watu. Anafanya Hardware lakini hana Multimeter na haijui kuitumia. Kwa sasa mpaka watu wanaogopa kupeleka simu kwa mafundi simu sababu kuwepo kwa mafundi kama wewe wenye tamaa ya pesa, hawana ujuzi na hawana vifaa zenye ubora. MWISHO WA SIKU ANAKUWA MUONGO, SOUND NYINGI UJE KESHO SIJUI KESHO KUTWA. MWISHOWE UNAPEWA SIMU IKIWA MBOVU VILE VILE NA UNAAMBIWA IMEMISS FILE. Kipindi cha nyuma kuna fundi kajanja aliniulia simu yangu ilikuwa issue ya hardware na hana hata multimeter. Anachomelea ovyo ovyo tu. Simu yenye anafungua kama anapigana nayo. Kuna simu zinatakiwa zifunguliwe kwa kutumia LCD Separator lakini yenye anatumia screw driver au kisu. Kuna Soldering flux paste, PCB Stand opening tools, Suction Cup n.k
Unapeleka simu kwa fundi inakuja na michubuko, Housing imewekwa vibaya vibaya mpaka unatamani ununue housing mpya.
Hahahaaa unahangaika na wachoyo wa software wewe kumbe hata gsm watakwambia hivyo hivyo hayo majobu yapo tu kama crack ya software husika haiko exposed sana mbona tusha zoea hayo wenzio ? Mi mbona ninayo na nliitoa huko huko mtandaoni tena kati ya software zinanifaa kwenye huawei ndio hiyo sigma sasaMwenzako huyu Ohida Ezekiel aliuliza please i need sigmakey crack with loader kwenye Group la facebook Gsm Box Crack & Crack Tools na majibu yake yalikuwa hivi
Oussama
forget
Like · React · Reply · More · Aug 26
Gsm Akhtar
Hhhhhhhhhhhh Sigma key cracked
Like · React · Reply · More · Aug 26
Ahmed Esmail
No fake
No crack
No one ask more
Only buy it if you want be xpert
Like · React · Reply · More · Aug 26
FaithTech Banda
Such a crack doesent exist
Like · React · Reply · More · Aug 26
Humphreys Mphoka
Gift Phiri Jr. mpaseni munthu crack uyu lol
Like · React · Reply · More · Aug 26
Gift Phiri Jr.
The things am seeing in this group,, i wonder where these tech's come from
Like · React · Reply · More · Aug 26
Nikutumie wewe!!!!!! Aisee unautani sana hebu hangaika uipate na ww hakuna urahisi ww kama unaamini hakuna sigma yenye crack baki hivyo ila cha kufanya goja kesho nita screenshot wakati naitimia kwenye huawei then ntakutumia ila sio nitume crack kirahisi rahisi kama unavyo taka wwHakuna cracked ya sigmakey wala keygen ya sigmakey inayofanya kazi. Tuma hiyo keygen tuione kama kweli ipo.
Mbona unahangaika sana. Ulidhani utanidanganya kirahisi? Hakuna cracked ya sigmakey wala keygen. Danganya wengine ila hiyo ngoma ni ngumu. Haitoboleki. Box zilizoshindwa kuwa cracked Chinise miracle II, BST dongle, Sigmakey, chimera na Gbkey. Ukiipata haifanyi kazi 100%. Wewe mwenyewe mpaka umejiona mjinga kusema kuna cracked ya sgimakey na keygen yake. Weka basi tuione hiyo sgimakey wewe ambaye siyo mchoyo wa software. Kadri siku zinavyoenda wenye box nao wanakaza box zao zisiwe cracked na wenye simu nao wanakaza simu zao zisichewe kirahisi. Hapo ndiyo utaona umuhimu wa original boxHahahaaa unahangaika na wachoyo wa software wewe kumbe hata gsm watakwambia hivyo hivyo hayo majobu yapo tu kama crack ya software husika haiko exposed sana mbona tusha zoea hayo wenzio ? Mi mbona ninayo na nliitoa huko huko mtandaoni tena kati ya software zinanifaa kwenye huawei ndio hiyo sigma sasa
Za kuambiwa changanya na zakwako na hao ni kama ww kwa vile hujajua kama sigma ishavunjwa kitambo basi unadhani haiwezekani kalaga baho.
Utoe picha mtandaoni watu wametumia box au box ya jirani yako umeomba akutumie screenshot na wewe ndiyo utume hapa JF. Umeona sasa unavyojichanga? Ndiyo wale wale mafundi waongo aka makanjanja. Hizo cracked software ni bure mtandaoni ni wewe na bundle lako. Nyie ndiyo wale wanaouza Miracle box na GSM Aladdin Cracked wakati mtandaoni ni free. Acha uongo hakuna CRACKED YA SGIMAKEY WALA KEYGEN. Wewe mwenye umejiona bonge la kilaza mpaka unataka uweke screenshot. Hiyo screenshot hata mimi nitakutumia, zipo nyingi sana mtandaoni wala sitaki hiyo ya kwako.Nikutumie wewe!!!!!! Aisee unautani sana hebu hangaika uipate na ww hakuna urahisi ww kama unaamini hakuna sigma yenye crack baki hivyo ila cha kufanya goja kesho nita screenshot wakati naitimia kwenye huawei then ntakutumia ila sio nitume crack kirahisi rahisi kama unavyo taka ww
Mbona unahangaika sana. Ulidhani utanidanganya kirahisi? Hakuna cracked ya sigmakey wala keygen. Danganya wengine ila hiyo ngoma ni ngumu. Haitoboleki. Box zilizoshindwa kuwa cracked Chinise miracle II, BST dongle, Sigmakey, chimera na Gbkey. Ukiipata haifanyi kazi 100%. Wewe mwenyewe mpaka umejiona mjinga kusema kuna cracked ya sgimakey na keygen yake. Weka basi tuione hiyo sgimakey wewe ambaye siyo mchoyo wa software. Kadri siku zinavyoenda wenye box nao wanakaza box zao zisiwe cracked na wenye simu nao wanakaza simu zao zisichewe kirahisi. Hapo ndiyo utaona umuhimu wa original box
NARUDIA TENA. HAKUNA CRACKED BOX YA SIGMA WALA KEYGEN YAKE.
Sawa fundi naomba nifunge mjadala na wewe aisee maana naona sio type yangu ujuaji mwingi sana wakati wakati nakuona kichwa box unaish kwa kukaririUtoe picha mtandaoni watu wametumia box au box ya jirani yako umeomba akutumie screenshot na wewe ndiyo utume hapa JF. Umeona sasa unavyojichanga? Ndiyo wale wale mafundi waongo aka makanjanja. Hizo cracked software ni bure mtandaoni ni wewe na bundle lako. Nyie ndiyo wale wanaouza Miracle box na GSM Aladdin Cracked wakati mtandaoni ni free. Acha uongo hakuna CRACKED YA SGIMAKEY WALA KEYGEN. Wewe mwenye umejiona bonge la kilaza mpaka unataka uweke screenshot. Hiyo screenshot hata mimi nitakutumia, zipo nyingi sana mtandaoni wala sitaki hiyo ya kwako.
Wapi zinapatikana? Hizi software?Zipo nying sana mkuu unazoweza tumia bila box , gsm, miracle,ftn, dc unlocker, infinity, nck, sigma key ,nspro,sprt,volcano,falcon box,Eft ,infinity, jaf, ufsx hwk yaan zipo nyingi sana ni utundu wako tu kujua kucheza nazo aisee na zote unapata cracked na fatures nying tu
kaka nitumie link ya miralleHongera mkuu mimi nimetumia miracle box nimefanikiwa ku unlock simu mara 5 tu. Yani hadi leo najiona mwamba balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani nikikaa,ku hadisia naongea uongoo mpaka mwisho. Kuna mda watu wananiletea simu sema mara nyingi nafanikiwa. Juzi nimeletewa ya pattern sema nilikuwa sina pc nika mpiga sound kuwa mmilíkii wa miracle box kafaaa kwahiyo mpa week ijayo mazishi wamalizee ndo itakuwa online. Ndo kaacha cm hapa nataka nitafute wajuzi.
Kiukweli mkuu umenena Mimi hapa nimenunua infinity dongle Leo nipo nayo mwaka wa 4 sijui nianzie wapi Sasa naomba nipate maelekezo namba ni 0621976401usijifanye mjuaji kiasi hicho ukdhan unajua kila kitu wakati hujui