Wapi naweza kupata matokeo ya kidato cha NNE 2001

Kitokombe

Member
Dec 22, 2016
69
22
Nikipomaliza kidato cha nne sikua nimelipa ada ya mtihani hivyo basi matokeo yalipotoka ya kwangu sikuyaona.nimefatilia wakaniambia matokeo yakikaa miaka miwili bila kulipiwa yanafutwa mtandaoni. Sasa naomba msaada wenu wana JF kwa yoyote alienayo anisaidie
 
Matokeo ya form four 2002 huwezi kuyapata mtandaoni hata kama ungekuwa umelipa ada.
Tafuta njia mbadala
 
Nikipomaliza kidato cha nne sikua nimelipa ada ya mtihani hivyo basi matokeo yalipotoka ya kwangu sikuyaona.nimefatilia wakaniambia matokeo yakikaa miaka miwili bila kulipiwa yanafutwa mtandaoni. Sasa naomba msaada wenu wana JF kwa yoyote alienayo anisaidie
Mkuu nenda shuleni wakakupekulie....au shule iliyo karibu wakuangalizie kwenye vitabu vya baraza......au.....
 
Mkuu nenda shuleni wakakupekulie....au shule iliyo karibu wakuangalizie kwenye vitabu vya baraza......au.....
Sasa mbona inakuwa vigumu kuyapata matokeo ya Daud Albert Bashite na Paul Christian ........... ili tujue mbichi na mbivu!
 
Nilikua sielewi mnachomaanisha mlipokua mnahusisha matekeo ya mwaka 2001 na mtu mmoja, Daudi Bashite.
nilimeelewa baada ya kuona hii taarifa hapo chini:

Siku moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kusema kuwa hawezi kujibu madai ya mitandao ya kijamii kuwa alitumia vyeti vya mtu cha kidato cha nne, Askofu Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima ameibuka na kusema kuwa ni kweli alitumia vyeti hivyo.

Askofu Gwajima amesema kuwa anamfahamu sana Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na kuwa jina lake halisi ni Daudi Bashite na kwamba hilo la Paul Makonda ni la mwenye vyeti hivyo.

Aidha, Askofu Gwajima amedai kuwa anavyo vyeti vya Daudi Bashite vinavyoonyesha kuwa hakufaulu na kwamba atashangaa kama Waziri wa Elimu, Prof. Ndalichako atalifumbia macho jambo hili.

Pia ametishia kuwa, kama mamlaka husika hazitachukua hatua haraka basi yeye atatoka hadharani na vyeti hivyo.
 
Sio ngumu, watu hawajaamua tu.
Mbona Matokeo ya Jesca yalipaticana haraka haraka .............. au ndiyo walikuwa wameamua!!

Matoke ya RC Ole Sendeka ya miaka ya themanini (1980s) yalishawahi kuwekwa humu ...... Kwa nini haya yanakuwa magumu sana kupatikana!!?
 
nenda
Nikipomaliza kidato cha nne sikua nimelipa ada ya mtihani hivyo basi matokeo yalipotoka ya kwangu sikuyaona.nimefatilia wakaniambia matokeo yakikaa miaka miwili bila kulipiwa yanafutwa mtandaoni. Sasa naomba msaada wenu wana JF kwa yoyote alienayo anisaidie
baraza la mitihani Mwenge
 
NECTA pekee ndio huwa na record ya matokeo
Ata Kama matokeo ya mwaka wako yako mtandani bado hutoweza kuyaona yako maana huwa yanashikiliwa no NECTA mpaka ulipe ada ya mtihani, ukilipa unapewa results slip
Kwa hiyo nenda baraza na pesa ya mtihani Kama mpaka leo hujafuatilia
toka huo mwaka jiendae na penati
Matokeo ya wanaodaiwa ela ya matihani hayashikiliwi na shule maana ni jukumu la NECTA
Shule ushikilia cheti Kama wanakudai ada ya shule
 
Back
Top Bottom