Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 3,088
- 4,094
K
Exam results -maktaba -by TETEA
Hapa utapata matokeo ya miaka ya nyuma
Kwa nyongeza matokeo ya miaka ya nyuma mtandaoni utaipata kupitiaNikipomaliza kidato cha nne sikua nimelipa ada ya mtihani hivyo basi matokeo yalipotoka ya kwangu sikuyaona.nimefatilia wakaniambia matokeo yakikaa miaka miwili bila kulipiwa yanafutwa mtandaoni. Sasa naomba msaada wenu wana JF kwa yoyote alienayo anisaidie
Exam results -maktaba -by TETEA
Hapa utapata matokeo ya miaka ya nyuma