Wapi naweza kupata kioo Original cha Samsung A10

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Posts
13,281
Reaction score
20,899
Simu yangu Samsung A10 imekufa kioo nataka kubadilisha sasa nahitaji kujua wapi naweza kupata kioo original maana nasikia kuna feki itakuwa vema nikikipata hapa nilipo sasa mbeya pia nahitaji kujua bei zake pamoja na kubadilisha.Msaada tafadhali wadau
 
Kama bado ipo ndani ya warranty unabadirishiwa kioo bure kwa agent wa Samsung.

Kwa Dar wapo JM mall, mikoani sijui jaribu kugoogle.
 
Kama bado ipo ndani ya warranty unabadirishiwa kioo bure kwa agent wa Samsung.

Kwa Dar wapo JM mall, mikoani sijui jaribu kugoogle.
warrant ime expire mkuu pengine unaweza kuwa unajua bei ya kioo cha hii simu?
 

0714 036595 nicheki upate Kioo kizuri pamoja na kufungiwa.
 
Siamini kioo OG cha Samsung ni 50,000
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…