Wapi naweza kupata kiatu hiki?

Ukishindwa bora ununue mtumba usinunue kama hiki hapa:

PXL_20240508_151343985.PORTRAIT.jpg
PXL_20240508_151329177.NIGHT.jpg

Nilinunua Kariakoo kwa jamaa mmoja anajiita Devidi. Ni muuza viatu maharufu.

Nilinunua cheap 55 au 60 hivi sikumbuki vizuri. Nimekivaa mara kadhaa, ila iyo elastic ya juu imelegea kama mdomo wa mlevi, hapo mbele kwenye vidole oamekua pabaya, ukivaa hakikai vizuri mguuni kama ilivyokua kipya.

Bora ugharamikie ivyo vya kishua, sahivi nataka niamie mtumbani.
 
Back
Top Bottom