EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 8,558
- 12,684
Wapi kwa dar -es-salaam naweza kupata vifaa hivi kwa ajili ya kuwaburudisha wanangu.Hizi zinaitwa Virtual reality 3D glasses ambazo unaweza ukazitumia na smart phone
embu nitolee ujinga wako,umekurupuka toka chooni hata hujatawza unakimbia kuuliza bila kusoma heading ya threadHiyo simu unauza?
HAO HAWANAcheki jumia
Zilizopo jumia ni changamoto tupu. Nilinunua na hata hamna lamaana zinachofanyaHAO HAWANA
Huna hela ya kununua,ungekuwa na uwezo huo,automatically ungejua upatikanaje wake pamoja na bei zake na mpaka sasa ungeona si kitu kigeni kwako.Wapi kwa dar -es-salaam naweza kupata vifaa hivi kwa ajili ya kuwaburudisha wanangu.Hizi zinaitwa Virtual reality 3D glasses ambazo unaweza ukazitumia na smart phone
View attachment 1172181
View attachment 1172183
embu nitolee ujinga wako,umekurupuka toka chooni hata hujatawza unakimbia kuuliza bila kusoma heading ya thread
Huna hela ya kununua,ungekuwa na uwezo huo,automatically ungejua upatikanaje wake pamoja na bei zake na mpaka sasa ungeona si kitu kigeni kwako.
Ukicheki horror movie inabidi ukae kitandani, unashangaa unajibamiza na ukuta😂😂😂We unataka kupigwa na kuvunjiwa vyombo vyako hizo game zinahitaji hisia za matendo ndio zifanye kazi yake
eBay vinapatikana.Kwa hapo bongo bado havijazagaa sana ila kama unandugu au rafiki yuko marekani (ulaya) muagize mimi naviona mlimani city tu wanatumia kucheza game wala sijaona wanauzwa hapa bongo
Wapi kwa dar -es-salaam naweza kupata vifaa hivi kwa ajili ya kuwaburudisha wanangu.Hizi zinaitwa Virtual reality 3D glasses ambazo unaweza ukazitumia na smart phone
View attachment 1172181
View attachment 1172183
sawaHuna hela ya kununua,ungekuwa na uwezo huo,automatically ungejua upatikanaje wake pamoja na bei zake na mpaka sasa ungeona si kitu kigeni kwako.
sijakuelewa chiefHivi ni vifaa vya kujaribua watoto
sawa mkuunenda mlimani city au agiza kwa alibaba