Wapi Naweza Kupata Easy Touch Meter Hapa TZ

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
8,886
2,000
kifaa hicho hapo juu cha kupimia glucose pamoja na Cholestrol na Uric acid''
- Habari
Iwapo utashindwa kupata kwa hapa Tanzania

Waweza agiza
- ebay.com
- amazon.com au
- aliexpress.com : Sample hii hapa: https://bit.ly/2z2IqDw cofoe ni mpja ya brand product zilizo nzuri kwa maana ya urahisi wa upatikanaji wa Test Strips hasa unapokuwa umeishiwa.

Taratibu za kuagiza nimeweka hapa: www.bit.ly/101buy4me
1565928749697.png


Test Strips
1565929514321.png
 

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
8,886
2,000
1565929597471.png


Je inachukua muda gani kupata mzigo wako?
- kawaida huwa ni ndani ya siku 14 hadi 21 tangu mzigo utumwe.

Je gharama ni kiasi gani hadi mzigo kukufikia?
- Inategemea utanunua kwenye site ipi. Mfano Amazon ni more expensive ukilinganisha na aliexpress au ebay.
- Pia hutegemea na njia ya uharaka ya usafirishaji itakayotumika, Mfano mzigo ukitumwa kwa Express kupitia dhl utafika mapema zaidi tofauti na mzigo utakao tumwa kwa njia ya posta.

Maelezo zaidi hapa: www.bit.ly/101buy4me

KARIBU
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom