Aje DM na pesa umpe au!
Any au Amazon ni watu/ kampuni gani mkuu..?Lazima vitakuwepo Ebay au Amazon na labda kwenye ile app ya kikuu.
Aisee hivi vidude huwa sivielewi kabisa ngoja nistick na wires tu au kama ni wireless basi ni headphones.
Imagine kikidondoka tu ndio basi tena itabidi uwaingizie apple faida kwa mara ya pili.
Hizi companies zinazoproduce hizi bidhaa wamekuja na bonge moja la business strategy.
Hz mkuu ni za bei rahisi tu.. nilinunua 30,000/= yakitanzania