Wapi naweza kupata Darubini??

Nenda game mlimani

Niliwahi kuziona kipindi flani nilipoenda kupooza mwili

Me nahitaji telescope sijui napata wapi
 
Asante Mkuu, Telescope nenda pale Jumbo Camera House

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah mlimani city kuna duka lipo upande wa kulia kama unaingia ndani[ilipo benki ya crdb], baada tu ya benki kuna kiduka kimoja halafu ndo utaliona hilo duka lipo kwenye engo kulia, na bei zake zinaa anzia kwenye 300,000 na kuendelea kutokana na uwezo.
 
Write your reply... Ulipata hiyo darubini? Na kama uliipata uliipatia wapi? na ni bei gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…