Wapi naweza kupata chemicals zifuatazo?

Wapi naweza kupata chemicals zifuatazo?

dadeez

Senior Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
120
Reaction score
146
Habari zenu ndugu zangu..

ninaombeni msaada wa kufahamishwa wapi naweza kupata chemical zifuatazo?
xylene na 2k- thinner

Ninahitaji kwa matumizi binafsi ya ujasiriamali.
 
Back
Top Bottom