Kiruke cha Ibwe
Member
- Jun 26, 2009
- 67
- 13
Kwa mda mrefu sasa natafuta sehemu ninapoweza pata kozi fupi ya kujifunza programming kwa ajili ya kazi Fulani. Nilikwisha soma kidogo Pascal programming nikiwa chuo ila ningependa kupata ujuzi zaidi tafadhali nijulisheni wapi naeeza pata huduma hii