Karibu Xiaomi kwenye ulimwengu wa Raha. Hakika hutojutia Maamuzi yako.Ndugu walevi wa gadget
Nimeamua kubadili upepo wandugu. Natoka kwa Mkorea kwenda kwa Mchina sasa. Akili yote ipo hapo kwa MI 11 Lite 5G. Tafadhali hii isichanganywe na MI 11 Lite. Hii ninayoitaka ina 5G hapo mwisho. Nimeipenda mashine hii nikiwa na akili timamu na bila ya kushawishiwa na mtu yeyote.
Je, kwa sasa nitaipata duka gani hapa Tz? Je, inauzwa bei gani hapa Tz? Nikicheki kimataifa, kabla ya kusafirishwa huko ilipo inacheza kwenye milioni moja hadi milioni na laki moja ama mbili hivi kutegemea nchi na muuzaji.
Kwa wale wasiyoifahamu waicheki hapa. Chini kabisa kuna link inakupeleka kucheki specifications
Duka gani nitaipata ikiwa OG , sealed, virgin kabisa!
Mi 11 Lite 5G - Xiaomi Global
Mi 11 Lite 5G: Qualcomm® Snapdragon™ 780G | Featherweight design, ,www.mi.com
Asante mkuu. Nimefungua site hii na kukuta bei inaakisi niliyoiona huo abroad. Sema sasa maduka yanayouza bidhaa hii ndo changamoto. Nishapita Mlimani City mara kadhaa siiioni. Nishaitafuta Benson kule Arusha jamaa aliyepokea simu ni kama hajawahi kuisikia.
Shukrani mkuu.Nami ninakubali. sijui kwanini hapa mchina amekwama. Simu zake za ukweli hazipo sana soko la bongo. Huku anatujazie "zileeeeeeeee"Simu nzuri Sema fanya mpango tu uagizishie online. Ngumu kukuta premium MI phones mtaani.
5G ya niniNdugu walevi wa gadget,
Nimeamua kubadili upepo wandugu. Natoka kwa Mkorea kwenda kwa Mchina sasa. Akili yote ipo hapo kwa MI 11 Lite 5G. Tafadhali hii isichanganywe na MI 11 Lite. Hii ninayoitaka ina 5G hapo mwisho. Nimeipenda mashine hii nikiwa na akili timamu na bila ya kushawishiwa na mtu yeyote.
Je, kwa sasa nitaipata duka gani hapa Tz? Je, inauzwa bei gani hapa Tz? Nikicheki kimataifa, kabla ya kusafirishwa huko ilipo inacheza kwenye milioni moja hadi milioni na laki moja ama mbili hivi kutegemea nchi na muuzaji.
Kwa wale wasiyoifahamu waicheki hapa. Chini kabisa kuna link inakupeleka kucheki specifications
Duka gani nitaipata ikiwa OG , sealed, virgin kabisa!
Xiaomi hawaruhusu udalali ni wao wenyewe ndio wanasupply simu zao world wide .Bongo hatuna hio access kwa kua hatuna Mi store hapa . Mi series ni highend na zinabei kubwa sasa supplier wetu wanaogopa kuzileta kwa kua upande wa flagship xiaomi bado hajatoboa sana soko la huku kushindana na ma giant kina samsung na apple .Shukrani mkuu.Nami ninakubali. sijui kwanini hapa mchina amekwama. Simu zake za ukweli hazipo sana soko la bongo. Huku anatujazie "zileeeeeeeee"
Agiza nje mkuu ila cha kuzingatia unapoagiza ni kuhakikisha unaahiza ambayo ni Global Version. Kinyume na hapo utakumbana na Changamoto za Network.Asante mkuu. Nimefungua site hii na kukuta bei inaakisi niliyoiona huo abroad. Sema sasa maduka yanayouza bidhaa hii ndo changamoto. Nishapita Mlimani City mara kadhaa siiioni. Nishaitafuta Benson kule Arusha jamaa aliyepokea simu ni kama hajawahi kuisikia.
Hapa kuagiza nje kunahusika
Asante sana. Hivi kwa Tz yetu mpaka sasa maduka ya uhakika ya mtandaoni ni yepi? Mpaka leo nikicheki maoni ya watu , ni kama hakuna watoa huduma wa uhakika.Agiza nje mkuu ila cha kuzingatia unapoagiza ni kuhakikisha unaahiza ambayo ni Global Version. Kinyume na hapo utakumbana na Changamoto za Network.
Humu jukwaani kuna Mwl.RCT na Mr mobile wote wanaagizishia nje, ama Agizishia mwenyewe.Yepi kwa mfano ndugu? Mimi naona watu wanalialia tu kwa haya yaliyopo.Au wanasingiziwa?
Watafute jamaa wanajiita "Highlife Tanzania" namba yao ni +255 717 233 555 wapo hata Instagram. Hawa ni uhakika na waaminifu.Asante sana. Hivi kwa Tz yetu mpaka sasa maduka ya uhakika ya mtandaoni ni yepi? Mpaka leo nikicheki maoni ya watu , ni kama hakuna watoa huduma wa uhakika.
Ila bei yake ni kheri aende kenya tu kwenda na kurud manake hao jamaa wa moto sana sana kwenye bei ,Mr mobile na Mwalimu CRt ndio watu pekee wataokuletea simu yako chapWatafute jamaa wanajiita "Highlife Tanzania" namba yao ni +255 717 233 555 wapo hata Instagram. Hawa ni uhakika na waaminifu.
Ooh ok. Mr Mobile na Mwalimu CRt una contact zao?Ila bei yake ni kheri aende kenya tu kwenda na kurud manake hao jamaa wa moto sana sana kwenye bei ,Mr mobile na Mwalimu CRt ndio watu pekee wataokuletea simu yako chap