Wakazi wa Dar es Salaam wana uhitaji mkubwa sana wa mboga za majani.
Na kwa kuwa mboga hazipatikani kiurahisi wanakula mboga zinazolimwa na kumwagiliwa maji ya viwandani na taka taka zote za mjini unazozijua wewe, hii ni habari mbaya sana kwenye afya lakini ni fursa kubwa sana kwa mtu kama wewe kama unafanya uzalishaji kwa large scale.
Cha kufanya fungua center moja ya uuzaji wa mboga za jumla sio reja reja Wilaya ya Kigamboni, center nyingine Kinondoni na Center nyingine Ilala na nyingine temeke.
Hakikisha unauza mboga zako kwa bei ya jumla, ili wanunuzi wa reja reja waje kwako kununua na wao wakauze masokoni.
Baada ya mwaka mmoja utakuwa milionea.
Na jina lako utalibadili litakuwa Milionea
Nswima John Edward , kama mimi nilivyo badili kutoka kuitwa Asigwa na sasa naitwa
Bilionea Asigwa .