Wapi napata kioo cha smart tv brand ya tcl google TV 32 inch?

Wapi napata kioo cha smart tv brand ya tcl google TV 32 inch?

Humble be

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Posts
3,104
Reaction score
5,053
Kioo cha Smart google TV, TCL brand 32inch.

Screenshot_20230706-165435.jpg
 
Labda upate used, bei ya kioo kipya genuine ni bei ya tv mpya Tanzania, haya mavioo ya kichina hayafai.
Nilishafanikiwa mkuu, waliniagizia kioo china na tv ishawaka, acha nione kioo cha kichina sijui nitafika nacho wapi 😂
 
TV ikiharibika kioo,nunua TV nyingine hyo mbovu uza skrepa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom