Wapi napata kifaa cha kutafisiri Ligha mbali mbali?

Wapi napata kifaa cha kutafisiri Ligha mbali mbali?

Felix

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2014
Posts
903
Reaction score
797
Wakuu, naomba kama kuna mtu anauza device za kutafisiri lugha. Mfano uko kwenye mkutano ujeruman wakiongea kijerumani wewe unakuwa unasikia kwa English.
Kwa yeyote anaeuza tuwasiliane.
 
Wakuu, naomba kama kuna mtu anauza device za kutafisiri lugha. Mfano uko kwenye mkutano ujeruman wakiongea kijerumani wewe unakuwa unasikia kwa English.
Kwa yeyote anaeuza tuwasiliane.
---
Divice ziko katika makundi mawili:

1. Translation Earbuds
2. Handheld Translator Devices
---
Translation Earbuds
- Timekettle WT2 Edge/W3 Translator Earbuds
1753376802392.png

---
Handheld Translator Devices
  • Pocketalk Model S
  • Vasco Translator V4
  • Pulomi V12 Smart Language Translator
---
Wapi napata kifaa cha kutafisiri Ligha mbali mbali?
  • Amazon
  • Ebay
---
Waweza Agiza wewe mwenyewe au ukatumia huduma ya Manunuzi kwenye hii thread hapa chini:
 
Back
Top Bottom