Wapi napata Google pixel Mwanza?

Msaada maduka ya uhakika kwa mwanza mjini chimbo lipi naweza pata google 3a au 4 brand new
Ingia Istagram andika @simu_ beipoa.mwanza ukikosa hapo rudi hapa nikupe namba ya mdada anaitwa fetty anauza hapo Lumumba
 
Pixel 3 au 4 brand new, haswa huku kwetu, ngumu kupata mzee, tutumie hayo hayo refurbished.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom