Wapi/nani wanaprint t-shirt bei nafuu tufanye dili?

Wapi/nani wanaprint t-shirt bei nafuu tufanye dili?

PistolGang

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
392
Reaction score
44
Habarini washika dau?

Ebana mimi ni mjasilia mali mwenye aidia ya kuuza t-shirt zenye nembo/maneno tofauti tofauti. Natafuta mshirika ambae anaprintigi hizi mambo either kwenye ofisi yake au whatever ili niwe nampa aidia zangu then yeye anatengeneza screen ya wazo pia nampa na hela ya kutoa copy chache chache ambazo niwe nauza huku naendelea kutafuta wateja na kadri navyouza naendelea kuongeza copy na kuongeza screen zingine za wazo jipya. Kwa sasa nina kiwango pesa kidogo ya kutoa copy kati ya tano hadi kumi kwa material ya T-shirt za
plain za MANGA.

Kama yupo mtu tuwasiliane kwa 0712433059
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom