Wapi Mrina bar ya Dar

Waambi

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
737
81
Hivi Mrina bar na gesti iko wapi hapa Dar? Mambo yake ni kama Mrina ya Arusha?
 
Ipo maeneo ya manzese ful raha shuka kituo kinaitwa chama kama unatokea posta na shuka kituo cha tip-top kama unatokea kimara au mbez
 
Ipo pale bugurini inaitwa kimboka by 9t au haipo cku ile..
 
Back
Top Bottom