Shikamoo dadaGreat Wall Masaki
Tangreen morocco
Kuna ile iko opposite na jengo la alpha victoria
Kuna ingine iko jengo baada ya viva tower inaitwa china nini sijui nimesahau.
Ila Tangreen na Great Wall ndo the best kwa misosi ya kichina.
Marahabaa. Siku twende shoga anguShikamoo dada
Hahahha sitakiMarahabaa. Siku twende shoga angu
Hataki huyo anaogopa konokonoMarahabaa. Siku twende shoga angu
Kwanini sasa? Wana misosi mitamu hatariii.Hahahha sitaki
Mbona mi sijawahi ona konokono. Sema hata mi nilikuaga najua wanapika vitu vya ajabu ajabuHataki huyo anaogopa konokono
Huwezi jua humu kama kuna panyaMbona mi sijawahi ona konokono. Sema hata mi nilikuaga najua wanapika vitu vya ajabu ajabu
Great Wall Masaki
Tangreen morocco
Kuna ile iko opposite na jengo la alpha victoria
Kuna ingine iko jengo baada ya viva tower inaitwa china nini sijui nimesahau.
Ila Tangreen na Great Wall ndo the best kwa misosi ya kichina.
Karibu mkuu.Migahawa iko mingi sana lakini huduma zao hutofautiana viwango,
Maadam wewe uliyewahi kwenda hapo umenihakikishia basi najua sintatupa pesa.
Shukrani sana mkuu.........................!
Kila kitu wchina hadi wahudumuKuna Mgahawa Mzuri hapo ndugu yangu ???
Wapishi wake ni wachina au ni wenzetu wa hapahapa ???