ana akili bwana acheni kumbania.ni assistant lecturer pale UDSM,ili uajiriwe na chuo cha UDSM lazima uwe na GPA ya 3.8 and above hivo Misanya anayo na kavuka hiyo sasa mtasemaje ni kilaza wajamini? ukitaka kumwona mara nyingi kwa mlio dar mida ya jioni anapatikana bar ya Savei(migombani) kamapani yake ni wahadhiri wenzake na sijawahi kumwona na masholi sasa kama analamba sana hiyo ni ishu binafsi tu kwani hakuna wanajF wanaolamba sana huku wakijifanya wanakondoo wa bwana????? sifa zake mpeni bwana mmesahau enzi zake na anti Ndina sijui nae yuko wapi kwa sasa>.......