Wapi Mark J Mwandosya?

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,032
3,198
Ilizoeleka kwa siku za hivi karibuni ndg Mark J Mwandosya alikuwa anatumia kurasa zake ktk social media kuongelea mambo kadha wa kadha.

Lkn tokea kadhia hii ya ttcl na Airtel iibuliwe Mark J Mwandosya haongelei lolote tena ktk kurasa zake km ilivyokuwa ada yake!

Mbona ghafla mzee wetu umetukimbia?!
 
Umeonaeeeh hata lowassa alienda kwa mzee nimejifunza kitu katika hii nchi hapo nyuma kabla ya magufuri kuna watu walikuwa wanaiba sana mfano mtu anamwita mwekezaji lakini anamwambia akiwekeza namie napata nusu yake ya faida na kuhusu kodi niachie mimi .kiukweli muda mwingne namkubali magufuri lakini kuna mengine ananikela
 
Ndio Magufuli alivyofanya kwenye nyumba barabara MV Dar es salaam ameficha kwa wanajeshi mwizi kama wezi wengine
 
Ilizoeleka kwa siku za hivi karibuni ndg Mark J Mwandosya alikuwa anatumia kurasa zake ktk social media kuongelea mambo kadha wa kadha.

Lkn tokea kadhia hii ya ttcl na Airtel iibuliwe Mark J Mwandosya haongelei lolote tena ktk kurasa zake km ilivyokuwa ada yake!

Mbona ghafla mzee wetu umetukimbia?!
Sio ndugu mwandosya

Sema proffesa mwandosya
 
Mwandosya anasubiri issue ya tccl na airtel impeleke na maji.....yeye na omary nundu wametajwa sana.
Alidhani ni msafi na kuanza kuvimba kichwa kwa vigeregere vya wazee wa kubadili gia angani...Mara ghafla hasikiki tena!
 
Mwandosya anasubiri issue ya tccl na airtel impeleke na maji.....yeye na omary nundu wametajwa sana.

Omar Nundu ndio kaiibua akiwa ni Mwenyekiti wa Board ya TTCL
Kashfa ya TTCL na Airtel imetokea wakat wa Mkapa wakati Nundu kwenye Masuala ya Anga Canada

Omar Nundu akiwa Waziri wa Uchukuzi alikera wakubwa kwa kulipua Ufisadi wa Kampuni ya kichina ya CCC iliyohusika na upanuzi wa Bandari ya Dsm a katemwa kimtindo, alifaa sana kuwa Waziri awamu Hii
 
Ni kweli kakaa kimya kama si kupotea kabisa......Lakini ukimya unaonitisha Ni wa MZEE REGINALD MENGI...kuna namna kwa huyu mzee wangu ambacho hakipo sawa
 
Mengi nae kalifungia gazeti lake la Nipashe Jumapili Mwenyewe kwa kosa la kumdhalilisha Rais hakusubiri Serikali na waliohusika wamesimamishwa, kalifungia kwa Siku 90 Eti 'wajitafakari wenyewe'
 
Nimecheka sana!
 
Omar Nundu ndio kaiibua akiwa ni Mwenyekiti wa Board ya TTCL
Kashfa ya TTCL na Airtel imetokea wakat wa Mkapa wakati Nundu kwenye Masuala ya Anga Canada

Omar Nundu akiwa Waziri wa Uchukuzi alikera wakubwa kwa kulipua Ufisadi wa Kampuni ya kichina ya CCC iliyohusika na upanuzi wa Bandari ya Dsm a katemwa kimtindo, alifaa sana kuwa Waziri awamu Hii
Waziri wa uchukuzi na usafirishaji alikuwa nani vile...?!
 
Nimecheka sana!

Ally Salehe Mwandishi Mkongwe wa BBC akihojiwa na BBC anasema katangaza kwa zaid ya Miaka 30 na kufanya kazi kwenye Tasnia ya habari lakin hajawahi kusikia Chombo cha habari kinajifungua chenyewe na Hii ni Mara ya kwanza , kwanza hata heading yenyewe haikuwa mbaya kiivo
'Magufuli akataa Miaka 7 ya Kagame'
Ndio heading iliyowafanya Nipashe Jumapili wajifungue kwa Miezi Mitatu
 
Waziri wa uchukuzi na usafirishaji alikuwa nani vile...?!

Alikuwa Prof Mark Mwandosya ilikuwa awamu ya pili ya Mzee Mkapa

Omar Nundu kawa Waziri wakati wa Kikwete na hiyo Kashfa ilikuwa wakati wa Mkapa
Aliechunguza na kulipua Hilo bomb kwa Sasa ni Omar Nundu Huyo watu wanaefikiria ndie alikuwa Waziri
Sasa hivi Nundu ni Mwenyekit wa Board ya Wakurugenzi TTCL na ndie alipewa Jukumu la Kuchunguza na kuja na findings hizo
 
Back
Top Bottom