Wapi Kuna wasichana warembo Kati ya Ethiopia na Rwanda?

Wadau nilikua Nina discuss na rafiki mmarekani mweusi kwa njia ya video call kwamba Tanzania inafahamika kwa kitu gani duniani.Nikamwambia tunafahamika kwa vivutio vya utalii pamoja na wasichana warembo.Lakini akakataa akasema mnafahamika kwa Tanzanite.Wasichana warembo ni Ethiopia.Nikaona sio kesi ngoja niwashilikishe wadau! Kati ya Rwanda na Ethiopia ipi ni kiboko yao?
Nenda karatu hao kama waethiopia jamani mbona waambulu wapo hata wapo pia kama wanyarwanda ni wewe . kama pia nyembamba IPO.
Hata nywele kama za singasinga zipo ni wewe tu
 
Wadau nilikua Nina discuss na rafiki mmarekani mweusi kwa njia ya video call kwamba Tanzania inafahamika kwa kitu gani duniani.

Nikamwambia tunafahamika kwa vivutio vya utalii pamoja na wasichana warembo. Lakini akakataa akasema mnafahamika kwa Tanzanite.

Wasichana warembo ni Ethiopia. Nikaona sio kesi ngoja niwashilikishe wadau! Kati ya Rwanda na Ethiopia ipi ni kiboko yao?
Somalians (ila 100% wametahiriwa kwa ajili ya imani ya dini yao), Ethiopia. Rwanda haiwazidi wanawake wa Tanzania kwa urembo, ni Wanyarwanda wachache sana wazuri ukilinganisha na hapa Tanzania. In fact ninadiriki kusema hata Ethiopia haiwazidi Tanzania kwa uzuri kivile ila ukimuona Muethipia mrembo ni chuma kweli kweli.
 
Zanzibar wapo watoto wazuri sana, bongo malaya wengi sana, wizi na ujuaji ndio umetamalaki kuliko mahali pengie popote, Tanzanite ni zao la wachache tu ndio wanaonufaika
 
Wadau nilikua Nina discuss na rafiki mmarekani mweusi kwa njia ya video call kwamba Tanzania inafahamika kwa kitu gani duniani.

Nikamwambia tunafahamika kwa vivutio vya utalii pamoja na wasichana warembo. Lakini akakataa akasema mnafahamika kwa Tanzanite.

Wasichana warembo ni Ethiopia. Nikaona sio kesi ngoja niwashilikishe wadau! Kati ya Rwanda na Ethiopia ipi ni kiboko yao?
Tanzania nyama ya Tembo kila mwanamke wa dunia hii yupo Tanzania kwahiyo ulikuwa sahihi nothing is not available in Tanzania except true democracy tu.
 
Nenda karatu hao kama waethiopia jamani mbona waambulu wapo hata wapo pia kama wanyarwanda ni wewe . kama pia nyembamba IPO.
Hata nywele kama za singasinga zipo ni wewe tu
Wamekeketwa
 
Wadau nilikua Nina discuss na rafiki mmarekani mweusi kwa njia ya video call kwamba Tanzania inafahamika kwa kitu gani duniani.

Nikamwambia tunafahamika kwa vivutio vya utalii pamoja na wasichana warembo. Lakini akakataa akasema mnafahamika kwa Tanzanite.

Wasichana warembo ni Ethiopia. Nikaona sio kesi ngoja niwashilikishe wadau! Kati ya Rwanda na Ethiopia ipi ni kiboko yao?
Huyo jamaa yako ni kiazi.

Mimi kama mtz nakuambia kuwa Tanzania inasifika kwa wanawake wazuri sanaaaa.
Ambao wapo underated sana.

Kama alisema tanzanite.
Muulize kuwa kili mountain je? Ngoro ngoro je?
Chato je?
 
Somalians (ila 100% wametahiriwa kwa ajili ya imani ya dini yao), Ethiopia. Rwanda haiwazidi wanawake wa Tanzania kwa urembo, ni Wanyarwanda wachache sana wazuri ukilinganisha na hapa Tanzania. In fact ninadiriki kusema hata Ethiopia haiwazidi Tanzania kwa uzuri kivile ila ukimuona Muethipia mrembo ni chuma kweli kweli.
Huwajui wahabeshi wewe
 
Back
Top Bottom