Wapi Kuna wasichana warembo Kati ya Ethiopia na Rwanda?

Wapi Kuna wasichana warembo Kati ya Ethiopia na Rwanda?

VentureCapitalist

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2018
Posts
403
Reaction score
546
Wadau nilikua Nina discuss na rafiki mmarekani mweusi kwa njia ya video call kwamba Tanzania inafahamika kwa kitu gani duniani.

Nikamwambia tunafahamika kwa vivutio vya utalii pamoja na wasichana warembo. Lakini akakataa akasema mnafahamika kwa Tanzanite.

Wasichana warembo ni Ethiopia. Nikaona sio kesi ngoja niwashilikishe wadau! Kati ya Rwanda na Ethiopia ipi ni kiboko yao?
 
Wadau nilikua Nina discuss na rafiki mmarekani mweusi kwa njia ya video call kwamba Tanzania inafahamika kwa kitu gani duniani.Nikamwambia tunafahamika kwa vivutio vya utalii pamoja na wasichana warembo.Lakini akakataa akasema mnafahamika kwa Tanzanite.Wasichana warembo ni Ethiopia.Nikaona sio kesi ngoja niwashilikishe wadau! Kati ya Rwanda na Ethiopia ipi ni kiboko yao?
Ungeweka na vipicha vyao
 
[emoji91][emoji91][emoji91]Huku bongo za kubahatisha Kuna wawili wamesema wanazo wananitunzia sijui kweli itabidi mwakani nifanye yangu!
Wahi mkuu... Mabaharia wasije wakapita nazo ukakuta ngorongoro creta[emoji3]
 
Back
Top Bottom