the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,929
i2thedi clockon pale wauza viatu ndo wapo sasa ntamuuliza nani?atleast kama una contacts za mtu anaeweza kunidirect nitashkuru sana mkuu nisaidie bana maujuzi yangu yanazidi kuyoyoma tu
Kwa hao wauza viatu ulizia mtu anaitwa master au ticha anafundisha hiyo michezo so anafahamu maeneo yote Arusha ya michezo hiyo I used to be 1 of his students fika atakudirect popote unapohitaji maana yeye na wenzie kadhaa walifundishwa na mchina mmoja sasa yeye amebase zaidi kwa biashara ila anafahamu madojo yote ni simple man you just meet with him and utanipa feedback