Wapi kuna mafunzo mazuri ya martial arts Arusha?

Duly zura

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
411
Reaction score
37
Habari wakuu,kama kuna mtu anajua sehemu
wanayofundisha martial arts nzuri ila isiwe
SHOTOKAN either TAE KWON DO,JEET KUAN DO,
TAI CHI au mwingine wowote naomba ani pm please!
shukrani
 
sawa anaweza tu kuweka hapa iwe faida kwa wote!naona interest zinatofautiana ndomana nime request pm
 
hatar! tunakoelekea tanzania inapendeza sana vijana ka mnajifua.. toka juz nipo homeland green cityg.,. nimepita maeneo ya milima flan kuna hewa safi, mida ya jion kuna kambi huku vijana wana jifua ngumi ni hatari, vijana wanakula dojo ni shda chn ya daraja wananing'inia.. Dojo dojo dojo dojo dojo dojo.
 
haha nzuri hyo!tuisaidie serikali pia unapeleka vijana jeshini ili kuondokana na ulelemama mazoezi kama haya mazuri sana!FULL DOJO HOOOOSSSSSSSS!!!!!
 
Habari wakuu,kama kuna mtu anajua sehemu
wanayofundisha martial arts nzuri ila isiwe
SHOTOKAN either TAE KWON DO,JEET KUAN DO,
TAI CHI au mwingine wowote naomba ani pm please!
shukrani

Apo nadhani nikuulize tu kwanini unataka kujifunza martial arts ?
Na je hizo category ambazo hauzitaki, unazifaham, au ni just tu huzitaki ?

Vijana wengi hupenda kujifunza martial arts ili wa apply mtaani, lakini kuna baadhi ya styles hazina application yeyote ile zaidi ya kuonyeshea tu kwenye show off kama spin jump na baadhi ya kicking stuff.

Martial arts ni pana, ila kwa ushauri wangu mimi angalia kwanza both schools around you na uangalie wanafundisha nini... nna marafiki wengi tu walio practice Tai kwon do, binafsi nawaona wako vizuri tu japokuwa kuna baadhi ya styles nyingi tu nnazo wapoteza, nakumbuka binafsi nilijifunza Shotokan pamoja na combat nikaona niache kulingana na sababu zangu za msingi... Baadae nilipotulia nikampata jamaa tukaanza kupractice Wing Chu pamoja na JKD (jet kune do) phylosophy ambayo still naji advance na nipo level nzuri tu.

Naomba nikazie hapo kwenye JET KUNE DO
... Hii sikushauli kwamba ujifunze yenyewe tu independent, ata aliye discover "Bruce Lee" alijifunza Wing Chun, sasa unapotaka kujifunza tu no way to way "JKD" tu alone, itakupa tabu kidogo.

Nionavyo mimi ukipata sehemu wanapofundisha Muay Thai, nenda ka practice coz utajifunza ku attack na kumdestroy adui from the head to toe tena within a short time,
na pia kuna San shou for street fighting.

ila tatizo kwa TZ bado mwamko ni mdogo.
 
Nenda Pale Maeneo Ya Sea View au Jirani Na Hospitali Ya Agha Khan Ulizia Kilipo Kituo Cha Warusi Na Hapo Ndiyo Mpango Mzima Na Utapikwa Hadi Upikike!
 
Achana na zote hizo, mpango mzima ni Shorinji Kempo!
 
Kwa Tanzania hapa, zilizoenea ndizo ulizozikataa....
 
pale perfect gym maeneo ya posta, wanafundisha tae kwon do
 
Shorinji Kempo au akido wapi napata mafunzo hayo? zamani Shorinji Kempo ilikua pale shule ya kisutu lakin waliama.
 
Aikido ipo kisutu. Jumanne na Alhamic. Saa moja na nusu hadi saa mbili na nusu jioni
 
Habari wakuu,kama kuna mtu anajua sehemu
wanayofundisha martial arts nzuri ila isiwe
SHOTOKAN either TAE KWON DO,JEET KUAN DO,
TAI CHI au mwingine wowote naomba ani pm please!
shukrani

Sanaa haimfanyi mtu bali mtu ndiye huifanya sanaa. Hakuna iliyobora kuliko nyingine ila wewe ndiyo unaweza ukaonyesha watu hilo. Ishu siyo style ishu ni wewe mwenyewe. Unaweza ukawa unajifunza kungfu lakini ukawa na ustadi mbovu na mwingine akafanya shotokan kama van damme akaonekana bora.
 
Nenda Pale Maeneo Ya Sea View au Jirani Na Hospitali Ya Agha Khan Ulizia Kilipo Kituo Cha Warusi Na Hapo Ndiyo Mpango Mzima Na Utapikwa Hadi Upikike!

sea view mbna spapati napajua agha khan tu maeneo ya wapi specifically mkuu????ni Arusha kweli au dar hyo?
 
Apo nadhani nikuulize tu kwanini unataka kujifunza martial arts ?
Na je hizo category ambazo hauzitaki, unazifaham, au ni just tu huzitaki ?

Vijana wengi hupenda kujifunza martial arts ili wa apply mtaani, lakini kuna baadhi ya styles hazina application yeyote ile zaidi ya kuonyeshea tu kwenye show off kama spin jump na baadhi ya kicking stuff.

Martial arts ni pana, ila kwa ushauri wangu mimi angalia kwanza both schools around you na uangalie wanafundisha nini... nna marafiki wengi tu walio practice Tai kwon do, binafsi nawaona wako vizuri tu japokuwa kuna baadhi ya styles nyingi tu nnazo wapoteza, nakumbuka binafsi nilijifunza Shotokan pamoja na combat nikaona niache kulingana na sababu zangu za msingi... Baadae nilipotulia nikampata jamaa tukaanza kupractice Wing Chu pamoja na JKD (jet kune do) phylosophy ambayo still naji advance na nipo level nzuri tu.

Naomba nikazie hapo kwenye JET KUNE DO
... Hii sikushauli kwamba ujifunze yenyewe tu independent, ata aliye discover "Bruce Lee" alijifunza Wing Chun, sasa unapotaka kujifunza tu no way to way "JKD" tu alone, itakupa tabu kidogo.

Nionavyo mimi ukipata sehemu wanapofundisha Muay Thai, nenda ka practice coz utajifunza ku attack na kumdestroy adui from the head to toe tena within a short time,
na pia kuna San shou for street fighting.

ila tatizo kwa TZ bado mwamko ni mdogo.

mkuu unamuelewa ata sensei mmoja alieko arusha?dah mwanangu we JKD nimepiga sana ila ilitokea vitu flan skueeza malizia af sensei alishasepaga wapi ntapata watu Wanapiga JKD?
 
hatar! tunakoelekea tanzania inapendeza sana vijana ka mnajifua.. toka juz nipo homeland green cityg.,. nimepita maeneo ya milima flan kuna hewa safi, mida ya jion kuna kambi huku vijana wana jifua ngumi ni hatari, vijana wanakula dojo ni shda chn ya daraja wananing'inia.. Dojo dojo dojo dojo dojo dojo.

Huko kutakua nzovwe
 
sea view mbna spapati napajua agha khan tu maeneo ya wapi specifically mkuu????ni Arusha kweli au dar hyo?

Kama Vipi Jipendekeze Pale MAKUMBUSHO Jirani Kabisa Na Kijiji Cha Utamaduni Sijui Na Makumbusho Na Jifanye Kama Vile Umekosea Njia Kisha Ruka Tu Ule Ukuta Na Ukitua Tu Salama Utakutana Na Akina Sensei Wengi Tu!
 
Fika clockon wanapouza viatu kuna master yuko hapo ulzia ukimpata atakupa info na sehemu za kufanyia mambo yako hayo
 
i2thedi clockon pale wauza viatu ndo wapo sasa ntamuuliza nani?atleast kama una contacts za mtu anaeweza kunidirect nitashkuru sana mkuu nisaidie bana maujuzi yangu yanazidi kuyoyoma tu
 
Nyuma ya lile jengo la Unga ltd relini kuna ukumbi wa ccm pale huwa wanafundisha
 
Back
Top Bottom