nadhani tatizo ni zoomu, hata mim lishanitokea, ipo very delicate, ukibahatika kupata fundi akairepea ni bahati, ila hapo inabidi ununue nyingine (zoom) ambapo sio chini ya 50-60,000/= mtaa wa uhuru kariakoo nyuma ya maduka ya simu wapo mafundi wa kamera.