Fuaaata maeelekezooo!!![/QUOTE
Maelekezo Kila Cku Kuna Washindi,au Kuna Mengne
jay kafilisika
tena awa ni wezi kabisa
Wekend Vp Wana Jamvi,
Huyu Bwana Jay Milionea Kapotelea Wapi Tangia Atokelezee Kule Mtwara Kwa Mhudumu Wa Guest,mbona Hasikiki Amekuwa Tapeli Tu Kila Siku,hzo Milioni 100,10,1 Za Kila Cku Ziko,wap? Bora Airtel Tunasikia Watu Wakipewa Zawadi,