Ndio mimi huyo na t-shirt ya tigo hapo.nimekuona umegeukia upande ule
Tumnduma Boda ya Tanzania hapo
Tunduma ipo Tanzania mkuu, upande wa Zambia kuna jina jingineTunduma boda ya Zambia??? Au ya Tanzania???
nakonde ndo jina la zambianoTunduma ipo Tanzania mkuu, upande wa Zambia kuna jina jingine
Tunduma ipo Tanzania mkuu, upande wa Zambia kuna jina jingine
Am guessing I don't catch your pace..........Hahaaa maana yangu ni kwamba hapo ni mpaka wa Tanzania(ww ukiwa tanzania) au mpaka wa zambia?(ww ukiwa tanzania) au mpaka wa tanzania na zambia??. Tunduma tupaitaje haswa?