Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,430
Kwasababu pako fekifeki au kwa sababu kila kitu kinatoka CHINA?China hapo
mia kwa miakwenye picha
piga tena ramli, ukishindwa nipe mji ambao hilo jengo lipoHiyo itakuwa ni Mall au Stadium???
Yap, ni Kigali international airport.Kigali
Si mtang'oa hadi nguzo za uwanja mkapambe majumbani kwenu, kwani nyie wakwere mna maana??Hii si Bagamoyo Stadium pale karibu na kijiji cha Kikwete.
Hiyo ni artist's impression sio uwanja halisi. Yaani ni sanamu ya namna uwanja ulitakiwa kuwa baada ya kujengwa.Yap, ni Kigali international airport.
Umeona airport ya wenzetu ilivyo safi?
View attachment 73660Yap, ni Kigali international airport.
Umeona airport ya wenzetu ilivyo safi?